Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto, ametoa wito kwa China iimarishe ushirikiano baina yake na mataifa ya Afrika, kwa kusaidia mataifa hayo kupata ufadhili wa masharti nafuu kwa shughuli za maendeleo. Rais aliitaka…