Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baadhi ya walioathirika kutokana na mafuriko na ambao wamekuwa wakiishi katika kambi ya wakimbizi ya Minjila wamepinga hatua ya serikali ya kujaribu kuwahamisha kutoka ardhi yao. Wahasiriwa hao wanaojumuisha kaya…