Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ligi Kuu ya FKF itarejea kati ya leo na Jumapili kwa mechi za mzunguko wa tano, kufuatia mapumziko ya mechi za kimataifa. Mathare United ambao wangali wanasubiri ushindi wa kwanza…