Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mataifa ya Bara Afrika, yamehimizwa kuongeza ufadhili katika sekta Kilimo, ili kuhakikisha utoshelevu wa chakula na maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza leo Alhamisi wakati wa siku ya mwisho ya kongamano kuhusu…