Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Misri ilikuwa timu ya tatu ya Afrika kujikatia tiketi kwa fainali za 23, za Kombe la Dunia mwaka 2026 baada ya kuwalaza Djibouti mabao 3-0, katika mechi iliyopigwa mjini Casablanca,Morocco.…