Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Adel Amrouche ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Rwanda almaarufu Amavubi, kwa mkataba wa miaka miwili. Shirikisho la soka nchini Rwanda (FERWAFA), lilimzindua Amrouche jana huku akiwa…