Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Kakamega, imesema itaimarisha ushirikiano wake na shirika la kimataifa la misaada la Marekani USAID, kutekeleza miradi ya maendeleo katika eneo hilo. Akizungumza wakati wa warsha ya…