Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini, LSK, Faith Odhiambo ametangaza kujiuzulu kutoka kwenye jopo la fidia kwa waathiriwa wa maandamano tangu mwaka 2017. Odhiambo ametangaza kujiuzulu kwake kwenye taarifa leo…