Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi, EACC imemwondolea lawama aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya amwasiliano Ezra Chiloba kuhusiana na madai kasoro katika halmashauri hiyo. Kulingana na tume hiyo…