Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mataifa 24 yatashiriki makala ya 17 ya fainali za kuwania kombe la Euro nchini Ujerumani, kuanzia Ijumaa hii Juni 14 hadi Julai 14. Mabingwa mara tatu Ujerumani wataandaa fainali hizo…