Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Umoja wa Ulaya (EU), zinaendelea kufurahia ushirikiano thabiti wa miaka mingi na ambao uliimarishwa kwa kutiwa saini mkataba wa makubaliano ya kiuchumi, ulioanza kutekelezwa mwezi Julai mwaka 2024.…