Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Usimamizi wa klabu ya Manchester United umemtimua meneja Erik Ten Hag kufuatia msururu wa matokeo mabovu ambapo klabu hiyo ni ya 13 ligini na kukosa kushinda mechi katika Europa League.…