Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ni afueni kwa Gavana wa kaunti ya Kericho Eric Mutai, baada ya bunge la Seneti leo Jumatatu kutupilia mbali hoja ya kumuondoa mamlakani. Maseneta 34 walipiga kura, kusimamisha vikao kwa…