Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), imetangaza kuwa zoezi la usajili wa wapiga kura, litarejelea mwezi Septemba mwaka huu, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Mwenyekiti wa IEBC…