Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Benki ya Equity imetangaza faida ya shilingi bilioni 48.8, katika Kipindi kilichokamilika Mwezi Disemba mwaka 2024. Faida hiyo ilinakiliwa katika kile kilichotajwa na benki hiyo kuwa riba ya juu ya…