Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto Ijumaa adhuhuri amelipokea Kombe la Liga Kuu Uingereza katika Ikulu ya Nairobi. Ruto amekariri kujitolea kwa serikali kukuza vipaji vya soka humu nchini kwa mamilioni ya vijana…