Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa anayedaiwa kupanga ghasia zilizoshuhudiwa katika siku za hivi majuzi kaunti ya Embu. Baada ya kutekelezwa kwa operesheni kali, maafisa wa kitengo cha Idara ya Upelelezi…