Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI, wamewakamata washukiwa wawili wanaodaiwa kuhusika katika wizi uliotekelezwa kwenye duka moja la jumla, ambapo bidhaa zenye thamani ya takriban shilingi milioni 17.6…