Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen ametetea wanariadha wa humu nchini dhidi ya ukosoaji ambao wamepitia katika siku chache zilizopita kufuatia matokeo yao katika michezo ya Olimpiki ya Paris, Ufaransa. Wakenya…