Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya mambo ya ndani imetangaza kwamba kituo cha kuratibu mipango na mawasiliano kuhusu kukabiliana na athari za mvua kubwa inayonyesha nchini hasa mafuriko kimebuniwa. Kituo hicho kiko katika jengo…