Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idadi ya waliofariki nchini kutokana na mvua ya masika inayoendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali imefikia 179. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alisema kuwa miili kumi ilipatikana siku ya Jumatano katika…