Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ametuma risala za rambi rambi kwa familia, jamaa, marafiki na raia wa Zambia kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Edgar Lungu. "Tunatuma rambirambi kwa familia…