Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Uhamiaji imetangaza kuwa Wakenya wanaotuma maombi ya pasipoti kuanzia mwezi Aprili mwaka huu watakapata stakabadhi hiyo muhimu ndani ya majuma matatu. Katibu katika idara hiyo Julius Bitok ametangaza…