Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Nairobi , imetangaza mipango ya kujenga madarasa 114 mapya, kwenye taasisi za Chekechea (ECDE), katika wadi zote 85, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi. Hatua hiyo inafuatia…