Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa kukabiliana na ugaidi (ATPU), wamemkamata Asho Kassim Hassan, anayedaiwa kusaidia kundi moja la kigaidi. Alikamatwa baada ya maafisa hao kutekeleza operesheni iliyowapeleka hadi kwenye maficho yake mtaani Eastleigh.…