Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki EALA, wamemtaka mwenyeki wa Jumuiya ya EAC Rais William Ruto, kuitisha kikao cha Marais, kujadili ukosefu wa fedha ambao umelemaza shughuli za bunge hilo.…