Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mfumo wa e-Citizen umekuwa wenye manufaa kwa mamilioni ya Wakenya wanaoweza kupata huduma mbalimbali za serikali wakiwa mahali popote ndani na nje ya nchi. Rais William Ruto amesema Wakenya wapatao…