Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Uchaguzi nchini DRC inaendelea kutoa matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa Urais ambapo Rais Felix Tshisekedi anaongoza kwa kiwango kikubwa na anafuatwa na mwanabiashara Moise Katumbi. Tshisekedi anaongoza…