Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta - KNH imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa aina yake duniani wa kurejesha sura ya mtoto aliyejeruhiwa vibaya usoni kutokana na shambulio la majambazi. Upasuaji…