Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Dkt.Patrice Motsepe, amechaguliwa bila kupingwa kwa muhula wa pili kuwa Rais wa Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF). Motsepe amechaguliwa kwenye kikao kisicho cha kawaida, kilichoandaliwa leo jijini Cairo Misri.…