Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mdhibiti wa bajeti Dkt. Margaret Nyakang'o ,amesema kuwa mchakato wa kuandaa bajeti mpya umekuwa kinyume cha katiba . Dkt Nyakang'o amesema haya Alhamisi alipofika mbele ya kamati ya bunge inayosimamia…