Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa hapa nchini, imetoa tahadhari kuhusu kuvuma kwa upepo mkali katika sehemu kadhaa za taifa hili. Baadhi ya kaunti ambazo zitaadhiriwa na upepo huo…