Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga ametoa wito kwa Wakenya kukumbatia mazungumzo na njia mbadala za kusuluhisha mizozo badala ya kukimbilia mahakamani kila wanapozozana. Akizungumza wakati wa kongamano…