Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakili wa Rigathi Gachagua Elisha Ongoya amechukua hatua kuhusu ujio wa akaunti nyingi za mitandao ya kijamii zilizofunguliwa na watu wanaojisingizia kuwa yeye. Akaunti hizo zipatazo 58 zina jina lake…