Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Kithure Kindiki amehakikishia wakazi wa kaunti ya Narok, kwamba utawala wa Rais William Ruto, umejitolea kuhakikisha maendeleo sawa katika sehemu zote za nchi. Akizungumza katika mkutano wa uwezeshaji…