Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wafanyikazi 108 katika afisi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, walioshurutishwa kwenda likizo wametakiwa kuwasilisha nakala za kandarasi za ajira zao mahakamani. Jaji wa mahakama ya uajiri na maswala ya…