Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amewaonya mabalozi wa kigeni dhidi ya kuiingilia maswala ya ndani ya taifa hilo,hususan uchunguzi unaoendelea kuhusu utekaji nyara na mauaji ya wanasiasa wa upinzani.…