Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Kitaifa Dkt. Raymond Omollo anasema mashambulizi ya kigaidi yanayotokana na itikadi kali yanasalia kuwa changamoto kubwa inayolikabili taifa hili. Ametoa mfano wa mikasa iliyopita…