Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Mazingira Dkt. Deborah Barasa ameilimbikizia Kenya sifa sufufu akisema nchi hiyo imekuwa mstari wa mbele katika utunzaji wa mazingira. Amesema hatua hiyo inawiana na dhamira ya Mkutano wa…