Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika idara ya elimu ya msingi Dkt. Belio Kipsang', amewahakikishia watahiniwa kote nchini usalama wao, wanapofanya mtihani wa kidato cha nne KCSE. Kulingana na Dkt. Kipsang', warakibu wa maeneo…