Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Leba na ulinzi wa jamii Dkt. Alfred Mutua, amesema kuwa Wakenya 234 wameripotiwa kuwa waathiriwa wa ulanguzi wa binadamu tangu mwaka 2019. Alipofika mbele ya bunge la Senate…