Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa watatu wanaohusishwa na sakata ya kusambaza pesa bandia katika kaunti ya Mombasa na viunga vyake, wamekamatwa kufuatia operesheni iliyotekelezwa na maafisa wa polisi eneo la Diani. Washukiwa hao Fadhili…