Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanachama wa kamati ya bunge la taifa kuhusu utawala na usalama wa ndani ilizuru maeneo ya Angata Barikoi na Nyaderema huko Kilgoris na Kuria Mashariki kujifahamisha kuhusu hali ya usalama.…