Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ofisi ya Upelelezi wa Jinai nchini Rwanda (RIB) imethibitisha kukamatwa kwa Moses Turahirwa, Mwanamitindo na mwanzilishi wa kampuni ya mavazi ya 'Moshions', kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya.…