Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Afya imefutilia mbali hofu ya kuwepo kwa uhaba wa dawa za kutibu magonjwa ya malaria, Virusi vya Ukimwi na kifua kikuu katika kipindi cha angalau mwaka mmoja ujao. …