Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Vifo kutokana na ajali za barabarani vimeongezeka hapa nchini huku watu 2,933 wakipoteza maisha yao tangu mwezi Januari, 2025, kulingana na takwimu zilizotolewa na Waziri wa Barabara na Uchukuzi Davis…