Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza baraza jipya la mawaziri inayoshirikisha chama chake cha African National Congress, chama kikuu cha upinzani na vyama vingine tisa katika serikali ya muungano…