Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Rigathi Gachagua atabaini leo Alhamisi ikiwa atasalia afisini au atafurushwa, wakati Bunge la Seneti litakapokamilisha kusikiza hoja maalum na kupiga kura kwa mashtaka 11 yaliyowasilishwa dhidi yake. Jana…