Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amewaongoza wakenya kumuomboleza aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo aliyeaga dunia Jumamosi asubuhi kwenye ajali ya barabarani. Rais Ruto alimtaja Jirongo kuwa kiongozi aliyejitolea ambaye alijizatiti kukabiliana…