Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wabunge wamekataa pendekezo la Wizara ya Nishati la kutaka kwamba agizo lililositisha kuafikiwa kwa mikataba ya ununuzi wa umeme liondolewe. Viongozi hao wanahisi kwamba hakuna hakikisho la usalama wa kutosha…